Wezesha Wajasiriamali Wadogo Wadogo
Lengo la kampeni hii, ni kuwawezesha wajasiriamali wadogowadogo kupata mitaji ya kukuza biashara zao na kufikia malengo. na pia katika kuhakikisha utunzaji wa mazingira unazingatiwa tunatoa Elimu ya utumiaji wa Gas asilia na kuachana na matumizi ya kuni au mkaa, ili kuendelea kutunza mazingira ya misitu yetu na kuepukana na majanga ya Ukame.
Nimatumaini yetu baada ya kuwawezesha hawa wajasiriamali wateza kujiingezea kipato na kujikwamua kiuchumi na kuondokana na Janga la Umasikini na pia kuongeza pato la Taifa.
Use the Moovn App to Scan this QR Code and Donate to this Campaign with
MoovnPay!