Education
12%

TZS 526,620.00 Raised

TZS 4,500,000.00 Goal

Saidia Kuchangia Wapekee Foundation

WAPEKEE FOUNDATION ni Taasisi yenye dhamira ya kutoa elimu kwa Jamii jinsi gani ya kuweza kufikia ndoto zao kupitia malengo uliyo jiwekea bila kujali kipato alicho nacho kwa sasa. Kupitia Wapekee Foundation tuna amini ya kwamba kila jambo linawezakana endapo utajiwekea misingi mizuri ya kufikia lengo lako Taasisi yetu itakuwa inafanya kazi kwa kushirikiana na Media,matangazo yetu yote yatakayo kuwa yanafanywa na taasisi yetu basi yatakuwa yanarushwa moja kwa moja na Meadia ya @u96TV kwa njia ya youtube Channel Online. kwa misingi hii basi tunahitaji kupata camera ambayo yenye uwezo mzuri ili kupata video zenye ubora wa hali ya juu pamoja na Vifaa vingine ambavyo tumeorezesha apo HAYA NI MAHITAJI YA VIFAA VYA KUFANYIA KAZI NIKONI 850: Hii ni camera nzuri sana na ina uwezo mkubwa,ikipatikana hii itakuwa bora. NIKONI 850: Hii ni camera nzuri kwa kazi itakuwa ni mbadala endapo ikikosekana hiyo camera ya kwanza. MICROPHONE: Hii ni maiki ya kuchuja sauti na yenye kunasa sauti kwa njia ya wayaless. SOUNDCARD BROADCAST: Hii kwa ajili ya kuchujia sauti hasa kwa vipindi vya ndani pamoja na mixer. Imani yetu ni kwamba ili haya yote yaweze kukamilika kwa haraka na kwa ufanisi mkubwa basi tuna hitaji ushirikiano baina yetu katika kila hatua. Kupitia @SHOOGA.ME Wapekee Foundation tunaomba kupata support yako kwa kuchangia chochote ulicho jaaliwa ili tuweze kufikia lengo la kufikisha ujumbe kwa jamii.

Use the Moovn App to Scan this QR Code and Donate to this Campaign with MoovnPay!

QR Code is Missing
No Photo

Created 17th Sep 2021 14:24

Organizer:
Casmir Hamisi

Recent Donations

  • TZS 15,000.00

    Anonymous 12th Sep 2024 00:48

  • TZS 10,000.00

    Anonymous 9th Sep 2024 17:25

  • TZS 500,000.00

    Anonymous 21st Sep 2021 06:23

  • USD 10.00

    Anonymous 24th Sep 2021 05:35

  • USD 5.00

    Anonymous 27th Sep 2021 23:39

Shooga